Saturday, January 30, 2010

VIPIGO KWA WANAWAKE VIKOMESHWE


Imekuwa ni kawaida ya wanaume kuwapiga wake zao katika nchi nyingi za Kiafrika na Asia kutokana na mfumo dume ambao umejikita sana katika nchi hizi. Vipigo hivi huwa havichagui elimu,hadhi, na hata cheo alicho nacho mwanamke. Pamoja na kwamba wanawake walioenda shule kwa kiasi fulani wamekuwa wakijitahidi kutetea utu wao na haki zao za msingi kama binadamu yeyote yule, jitihada hizo zimekuwa zikikwamishwa hata na wanawake wenzao ambao wanaamini kuwa ni halali kwa mwanamke kupigwa, na hata wengine wathubutu kusema kuwa kupigwa ni dalili za kupendwa, hivyo kama mwanaume hakupigi manake hana wivu na wewe hivyo hakupendi(imani ya ajabu kabisa!!). Mara nyingi mwanamke anapotetea haki zake huishia kuambiwa na jamii kuwa ana majivuno,analinga, anakiburi, kuna mtu anayempa jeuri n.k.


Jamani kwa nini tusibadilike!!!!!!!!!si mwanamke, mwanaume, mtoto, mzee n.k anayestahili kupigwa. Hivi unaona raha gani unapompiga mwenzio halafu usiku unalala naye kitanda kimoja??unajiamini nini hasa??, akiamka usiku akakuponda kichwa wakati umelala? au kwa vile wanawake wana huruma sana ndo mna-take advantage???hebu tusome baadhi ya habari zinazohusu vipigo kwa wanawake hapa chini(kutoka mtandaoni)


HATA MAWAZIRI WANAPIGWA

Africa's highest-ranking female politician has spoken out about the beatings which she said were responsible for her separation from her husband. Specioza Kazibwe, Uganda's former Vice-President, serving from 1994 until 2003, being the first woman in Africa to hold that position said that she had been forced to throw her engineer husband out of their house - which she had built - when she decided enough was enough. Her comments have caused a stir in a society where the subject is largely taboo."Why should I continue staying with a man who beats me?" she was quoted by the New Vision newspaper as telling women legislators. However, the the reaction to Mrs Kazimbwe's action had been varied in Uganda. Mrs Kazibwe should have kept it in the family, said one woman, Diana. "I come from north of the country, where women are told to respect their husbands even if they are abused or beaten up," Diana added."I am happy with the tradition because men are more superior to us and I think, without men, we would not be what we are now."


The wife of the deputy governor of a northern Nigerian province told reporters last year that her husband beat her incessantly, in part because she watched television movies.


IMANI ZA AJABU ZINAZOHALALISHA VIPIGO KWA WANAWAKE
Some societies have the idea that women are foolish and childlike, and need to be beaten to be corrected. In one survey, 44.7 percent of Kenyan women said that men have the right to discipline their wives by beating. The women who are beaten often feel that it is their fault. Even many matrilineal and matrilocal societies accept men beating their wives as correction.

In some Sub-Saharan African countries where wife beating is widely accepted as a response to women's transgressing gender norms, women are More likely than men to justify wife beating. An analysis of Demographic and Health Survey data from in seven Sub-Saharan African countries found that 36-89% of women justified wife beating in at least one of five specified situations such as if she burns the food, neglects the children, argues with him, goes out without telling him or refuses to have sex with. The analysts contend that women's acceptance of wife beating "may be explained only by entrenched social and cultural learning processes that subjugate the position of women in the society, socially and collectively undermine their self-esteem and facilitate romanticisation of the 'ideal' gender role of women."
In Zambia, nearly half of women surveyed said a male partner had beaten them, according to a 2004 study financed by the United States - the highest percentage of nine developing nations surveyed on three continents. About 80% of Zambian wives find it acceptable to be beaten by their husbands "as a form of chastisement", according to the Zambia Demographic Health Survey.