Thursday, May 20, 2010

I SALUTE AND LOVE WOMEN

Wadau nimukutana na maandishi haya mtandaoni, Shukrani kwa wadau Nelly kaminyoge na Atu Mwakalinga ambao wamenimuvuzishia. Nimeona sio mbaya na wengine wakayasoma na kuelimika. Ama kweli akina mama ni watu muhimu sana. endeeeleaaaa!!!!!

Acheni niwape heshima iliyotukuka wanawake woooooote;

IMAGINE:

ANAKUFUMANIA: Analia, ananyamaza, anasononeka, unambembeleza anakuelewa anakusamehe halafu anasahau!!!

UNAZAA NJE YA NDOA: Anasononeka na kulia sana . Anakuchukia lakini baadaye anakusamehe. Halafu analea mtoto
uliyemzaa nje kwa upendo. Kama ni kuchukiwa atachukiwa mtoto, si wewe uliyefanya umalaya!

UNARUDI USIKU WA MANANE UKIWA MTUNGI: Anakukaribisha, anakuandalia chakula, unagoma kula. Anahifadhi chakula alichokuandalia bila manung'uniko.

UNAAMKA ASUBUHI NA MAHANGOVER: Anakuandalia staftahi (saa nyingine unagoma kutumia staftahi yake unakimbilia baa kwenda kunywa Supu na kuzimua. Wala halalamiki!

CHAKULA CHA USIKU: Ushapiga mtungi wako, unataka huduma. Unamrukia, hamna maandalizi unamuumiza. Anavumilia ili akuridhishe. Na kesho yake tena inaweza tokea hii; hana kinyongo!

UNAJIANDAA KWENDA KIBARUANI: Unakuta kashakuandalia viwalo, suruwale imenyooshwa kama ya askari trafiki, shati limepigwa pasi ya maana! Nguo ulizovua jana zimeshalowekwa tayari kwa kufanyiwa usafi! Ulichomuudhi jana kashasahau na kukusamehe!

UNAMPA UJAUZITO: Anauthamini, anautunza anajifungua kwa uchungu, mtoto anakuachia wewe umpe jina, la kwake halimo kabisa kwenye majina atakayotumia mtoto! Na pamoja na uchungu wa kuzaa, bado yuko radhi kukuzalia mtoto mwingine na mwingine tena!

Na mengine meeeeengi sana wanafanyiwa hawa watu lakini WANASAMEHE, WANAVUMILIA! Ni watu muhimu sana hawa watu maishani mwangu!

HIVI INGEKEWA WANAUME

TUNAFANYIWA HIVI INGEKUWAJE?

Kwa leo acheni tu niwape

heshima zao wanawake wote:

I SALUTE AND LOVE
WOMEN

Monday, May 10, 2010

HAPPY MOTHERS DAY

SWEET MOTHER I WILL NEVER FORGET YOU..........

WOMEN HAVE THE RIGHT AND MIGHT

As we go on uncovering the truth about the real position of women in the world, i found it interesting to share with you on how some intelligent fellows have unearthed this issue by highlighting the unspoken truth in the bible concerning the status of women in the world. I am hopeful that this writing will assist us in our efforts to dismantle the inherent social creations that assumes women deserve a low status in the society. Here we go...

courtesy of: http://gbgm-umc.org/UMW/jesusandwomen

Courageous women of the New Testament offer role models for today's Christian women, who are compelled by Jesus and his teachings to be transformed and to transform the world. This web site, a supplement to study books for youth and adults, highlights women's roles in the sacred stories and provides a window for viewing women's leadership among Jesus' early followers

Women Who Love and Dare

Mary, the mother of Jesus
Martha and Mary, friends of Jesus
The woman who was not stoned according to law

Women Who Struggle and Resist

Jesus' aunt and Mary, the wife of Clopas, two unknown women at the cross
The widow who struggled until justice was done
The woman who doesn't rest until she finds something precious that she has lost
The woman who secretly took a miracle from Jesus
The Syrophoenician woman who argues with Jesus

.

Women Teachers and Disciples

Mary Magdalene, apostle and friend of Jesus
The first witnesses to the resurrection
The woman from Samaria, a missionary
Priscilla and Lydia, two working women and leaders of Christian communities