Tuesday, October 1, 2013

WOMEN EARLY MARRIAGES STILL A GLOBAL PROBLEM


A 40-year-old bridegroom and his 11-year-old bride during their wedding in Damarda, Afghanistan

Read more: 


WATOTO WALIOANA DODOMA HIVI KARIBUNI
Vitendo vya ukatili wa kijinsia bado vipo katika jamii yetu, nikiwa huko mkoani Dodoma nilipata kushuhudia ndoa ya watoto wadogo kabisa, kiukweli nilikuwa nashangaa na bado nashangaa mpaka sasa hata siamini, haya nilikuwa nikiyasikia tu ama kuyasoma ila nimepata kuyaona kwa macho yangu.. mdau tutazame then tuje kuchangia mawazo mana inabidi ifike muda vitendo hivi vya ukatili wa kijinsia iwe vimefika mwisho
http://www.joycekiria.com/2013/09/video-watoto-waoanana-wao-wanapanga.html

No comments: